
hapa ni ndani ya pantoni tukielekea Dar es salaam Zoo iliyoko maeneo ya kigamboni jijini dar es salaam Tanzania

kupanda ngamia unalipia tofauti na kiingilio chanko hapo ni buku

kabinti kangu kakiwa nje ya pantoni katika foleni ya kutoka kigamboni kurudi mjini kama ilivyozoeleka na wengi kuitwa hivyo
No comments:
Post a Comment